Rijili Kantori , Rijili Kantarusi au ing. Alpha Centauri (pia: Toliman au Rigil Kentaurus) ni nyota inayong'aa sana katika anga ya kusini kwenye kundinyota ya Kantarusi (pia: ing. Centaurus). Ni nyota ya kungaa sana ya nne angani lakini haionekani kwenye nusudunia ya kaskazini.
Nyota inayo ng'aa zaidi inaitwaje?
Ground Truth Answers: Alpha CentauriRijili Kantori , Rijili KantarusiAlpha Centauri
Prediction: